Tuwe wawazi, ni mtu gani maarufu ulipokuwa mdogo uli mu-idolize sana kupelekea hadi ukawa na chembe chembe za style yake

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Mimi kusema kweli ni huyu mwamba in early 2000s (2001 na 2002) haha hadi nikawa napiga cross kama yeye tukicheza sodo.
20241112_105421.jpg
 
Galileo galilei
Binafsi nilianza kupenda elimu za Astronomy nikiwa bado mdogo sana nilikua naweza kutabiri baadhi yavitu mfano nakumbuka kipindi cha utoto tulikua tunaenda kutazama movie kijijini kwetu kwamfumo wakulipia sh:100 ajabu nikwamba nilikua nawatangazia washkaji kua leo kule wameweke ubaoni picha flani hivo mimi nintaenda kuangalia.
Tulipo kua tunaenda kutazama ubaoni nikwamba tulikuta movie ilele ila jamaa walikua wanajua kua mimi eidha nilienda sokoni pia nikapita naangalia ubao au nikawa nimeskia kwamtu.
Ukweli nikwamba nilikua natabiri tuu bila kujua chochote.
Haina maana kila wakati nilikua nafanya hivo bali hali hiyo ilikua inakuja automatically yenyewe kwanguvu kuhusu movie ilio wekwa leo nazaidi zilikua zilimovie ninazo zipende mimi ndio nilikua nadhani kwamba itaoneshwa leo.
Kilicho kua kikinishangaza hata mimi nikukuta ndio movie hiyo hiyo imewekwa🤔🤔
 
Hapa wazee wa kubet watakutafuta...
 
Duh bonge la story mkuu
 
Kwa wanamuziki ilikuwa 2PAC nilikuwa napenda sana body ya mwili wake nikawa natamani niwe kama yeye aina mavazi yake na namna uongeaji wake nilkuwa naiga kila kitu kuhusu tupac

Kwenye movie za Hollywood nilikuwa namkubari sana mwamba wa kuitwa JEN CLAUD VAN DAME
kwenye sanaa za mapigano nilikuwa najiona VAN DAME ukichanganya kwa mbali na pigo za BLUCE LEE

kule INDIA ilikuwa mwamba AKSHAY KUMAR. Yaan miaka ile ya 90s ndo kma kungekuwa na SOCIAL MEDIA sijui ingekuaje mana nilikiwa FUN wake kupitiliza
 
Haapa tupac
Hapa Thierry Henry kichogo.. Hatari. Uwanjani ilikuwa ni kama copy na kupaste
 
Nimeshabett marakadha haswa siku za weekend nami hua natumia uhakika ya betting kwenye karatasi ilikuepuka janja janja inayo fanyika online kwakukugeuzia team ulio iweka.tofauti nakwenye kalatsi huwezi kugeuza chochote uleniushahidi unaokufunga.
Ninaorodha ya mikeka isio pungua 20 nilio ipiga picha kwaajiri ya kumbukumbu mikeka iliwin pesa nyingi tuu.mwenye kutaka kujifunza kwakuona mikeka hiyo anaweza kuja pm kwakujifurahisha.
Nitumie pm yangu mkuu iko wazi una kipawa..
 
Kwa wanamuziki ilikuwa 2PAC nilikuwa napenda sana body ya mwili nijawa natamani niwe kama aina mavazi yake na namna uongeaji wake nilkuwa naiga kila kitu kuhusu tupac

Kwenye movie za Hollywood nilikuwa namkibari sana mwamba wa kuitwa JEN CLAUD VAN DAME
kwenye sanaa za mapigano nilikuwa najiona VAN DAME ukichanganya kwa mbali na pigo za BLUCE LEE

kule INDIA ilikuwa mwamba AKSHAY KUMAR. Yaan miaka ile ya 90s ndo kma kungekuwa na SOCIAL MEDIA sijui ingekuaje mana nilikiwa FUN wake kupitiliza
Bonge la story
 
*kwenye muziki nilikua napenda sana video za awilo longomba_coupe bibamba, bahamen_who let the dogs out, los del rio_macarena na shaggy wasn't me. hiyo 98-2000 mwanzoni.
*kwenye mpira ni ronaldinho, hadi nikali_modify jina langu lifanane na lake.
*kwenye muvi ni chuck norris_delta force 3 ile kacheza na bill drago wengi walikua wanaiita carlos.
samo hung_easten condors, arnold schwarsenigger ile anaita jeniii, bruce lee_enter the dragon.
 
Back
Top Bottom