Tuwe wawazi, ni mtu gani maarufu ulipokuwa mdogo uli mu-idolize sana kupelekea hadi ukawa na chembe chembe za style yake

Galileo galilei
Binafsi nilianza kupenda elimu za Astronomy nikiwa bado mdogo sana nilikua naweza kutabiri baadhi yavitu mfano nakumbuka kipindi cha utoto tulikua tunaenda kutazama movie kijijini kwetu kwamfumo wakulipia sh:100 ajabu nikwamba nilikua nawatangazia washkaji kua leo kule wameweke ubaoni picha flani hivo mimi nintaenda kuangalia.
Tulipo kua tunaenda kutazama ubaoni nikwamba tulikuta movie ilele ila jamaa walikua wanajua kua mimi eidha nilienda sokoni pia nikapita naangalia ubao au nikawa nimeskia kwamtu.
Ukweli nikwamba nilikua natabiri tuu bila kujua chochote.
Haina maana kila wakati nilikua nafanya hivo bali hali hiyo ilikua inakuja automatically yenyewe kwanguvu kuhusu movie ilio wekwa leo nazaidi zilikua zilimovie ninazo zipende mimi ndio nilikua nadhani kwamba itaoneshwa leo.
Kilicho kua kikinishangaza hata mimi nikukuta ndio movie hiyo hiyo imewekwa🤔🤔
 
Hapa wazee wa kubet watakutafuta...
 
Duh bonge la story mkuu
 
Kwa wanamuziki ilikuwa 2PAC nilikuwa napenda sana body ya mwili wake nikawa natamani niwe kama yeye aina mavazi yake na namna uongeaji wake nilkuwa naiga kila kitu kuhusu tupac

Kwenye movie za Hollywood nilikuwa namkubari sana mwamba wa kuitwa JEN CLAUD VAN DAME
kwenye sanaa za mapigano nilikuwa najiona VAN DAME ukichanganya kwa mbali na pigo za BLUCE LEE

kule INDIA ilikuwa mwamba AKSHAY KUMAR. Yaan miaka ile ya 90s ndo kma kungekuwa na SOCIAL MEDIA sijui ingekuaje mana nilikiwa FUN wake kupitiliza
 
Haapa tupac
Hapa Thierry Henry kichogo.. Hatari. Uwanjani ilikuwa ni kama copy na kupaste
 
Nitumie pm yangu mkuu iko wazi una kipawa..
 
Bonge la story
 
*kwenye muziki nilikua napenda sana video za awilo longomba_coupe bibamba, bahamen_who let the dogs out, los del rio_macarena na shaggy wasn't me. hiyo 98-2000 mwanzoni.
*kwenye mpira ni ronaldinho, hadi nikali_modify jina langu lifanane na lake.
*kwenye muvi ni chuck norris_delta force 3 ile kacheza na bill drago wengi walikua wanaiita carlos.
samo hung_easten condors, arnold schwarsenigger ile anaita jeniii, bruce lee_enter the dragon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…