Tuwe wazalendo kiafya na kiakili

Tuwe wazalendo kiafya na kiakili

Kalemba

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2024
Posts
1,375
Reaction score
2,255
Hivi wakuu ni muhimu namna gani mtu kufanya mazoezi ya kujiweka fit kimwili na kiakili.

Sasa kwanini imejengeka kifikra kuwa mazoezi mfano ya karate, judo, kuwa eti ni mazoezi ya kigaidi, kuna sheria imetungwa kuwa hayo mazoezi au iyo michezo ni ya kigaidi? Kwaiyo watu bora wawe laini laini kuliko kujiweka fiti?

Kuna mtu jana alileta uzi kuhamasisha watu wajiweke fiti kimwili kwa mazoezi, hata manabii wa mungu waliopita hawakuwa dhaifu, kuanzia kina musa na jeshi lake, kina suleiman na jeshi lake, hata ndani ya vikosi vya navy seal na Mosad pia wapo waliofuzu kingumi na mapigano,na pia kiukakamavu.
 
Back
Top Bottom