Historia inaonyesha watu wengi wamekuwa wakijihusisha na ushabiki wakati wa kampeni lakini inapofika kwenye kufanya kweli (yaani kupiga kura) kila mmoja anakuwa na mtazamo tofauti.
Inatia moyo kuona wanajamii na watanzania wengi wameanza kuelewa umuhimu wa kupiga kura. Ninawaomba wanajamii wenzangu tuwe mstari wa mbele ifikapo tarehe 31October, kwani waswahili wanasema maneno matupu hayavunji mfupa.
TWENDE TUKAPIGE KURA TUWAHAMASISHE NA WENGINE, PIA TUSISAHAU KUWA MABADILIKO NI MUHIMU, KWANI MAJARIBIO NA UVUMILIVU TULIOUONYESHA KWA MIAKA 49 SASA YATOSHA.
:israel😛eoplez!!!!!!!