Elections 2010 Tuwe wazalendo wa kweli twende tukapige kura.

Amaniel

New Member
Joined
Oct 25, 2010
Posts
1
Reaction score
0
Historia inaonyesha watu wengi wamekuwa wakijihusisha na ushabiki wakati wa kampeni lakini inapofika kwenye kufanya kweli (yaani kupiga kura) kila mmoja anakuwa na mtazamo tofauti.
Inatia moyo kuona wanajamii na watanzania wengi wameanza kuelewa umuhimu wa kupiga kura. Ninawaomba wanajamii wenzangu tuwe mstari wa mbele ifikapo tarehe 31October, kwani waswahili wanasema maneno matupu hayavunji mfupa.
TWENDE TUKAPIGE KURA TUWAHAMASISHE NA WENGINE, PIA TUSISAHAU KUWA MABADILIKO NI MUHIMU, KWANI MAJARIBIO NA UVUMILIVU TULIOUONYESHA KWA MIAKA 49 SASA YATOSHA.
:israel😛eoplez!!!!!!!
 
kwelikabisaniuzalendokwendkupiga kura kuchagua viongozi wetu tunaoamini wanatufaa, ila" miaka49 yatosha" si kweli unajuaje hiyo "peoplez" itachukua muda gani kutimiza ahadi zake na isitoshe ikiwa ndo kwanza inaanza maana haitoweza kugusa mali za ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…