Tuwekane sawa katika hivyo vyeo, vinatumiwa vibaya.

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
20,834
Reaction score
26,217
Habari wanabodi.

Naomba tupeane darasa hapa tupate kujua yupi anastahili kuitwa nani na sababu za msingi kuitwa majina hayo.

Wananchi wengi wamekuwa wakipotoshwa na baadhi ya wananchi wachache ilhali hawastahili kuitwa hivyo vyeo.

Pia tungeambiana sababu za wao kupewa hivyo vyeo.

Tuwatambue viongozi hao hapa, wenye kuistahili kuitwa majina hayo na wasiostahili, nikimaanisha wamepachikwa au kuamua kujiita wenyewe hivyo.

Kwenye jamii yetu wapo wengi..

Tuwataje hapa....

Vyeo vinavyotumika vibaya ni pamoja na Doctor , Proffessor.

Sasa kupitia huu uzi tuwatambua wanaostahili kuitwa na wasiostahili.

Tuanze kuwataja jamii ipate kuwafahamu....
 
Mkuu
Unataka Kuharibia Watu Opportunity
 
Hahaha
 
Back
Top Bottom