Tuwekane sawa kwenye hili jamani

banizle

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2008
Posts
217
Reaction score
58
hivi ni kweli jamani hizi laptop zinasababisha upungufu wa nguvu za kiume? naomba mniweke sawa kwenye hili jamani
 
hiyo mpya mkuu. kama una manual yake hebu jaribu kuipitia na mimi ngoja nicheki kwenye manual ya lap yangu. du, ilianza ya mikanda ya nguo ya wanaume, ikaja simu, sasa laptop. this world is full of pollutants!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…