Tuwekane sawa mbona kwenye katiba wanaohubiri kuungana hoja zao zimejikita kwenye kutengana

Tuwekane sawa mbona kwenye katiba wanaohubiri kuungana hoja zao zimejikita kwenye kutengana

JF-MBUNGE

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
421
Reaction score
160
Taifa lipo kwenye mchakato wa katiba mpya, pls ebu tuwekane sawa. Inakuwaje wadau wanao shinikiza kudumisha muungano kwenye content za hoja zao wanapendekeza serikali 3 au 2..je huu ni muungano au utengano...???

Wengine wanataka mamlaka kamili lkn wanapendekeza kuwepo na muungano wa mkataba au wa baadhi ya mambo, sorry huu ni muungano au ushirikiano...???

Nafikiri ni busara ku-define seriously without politics ni muungano gani tunaouongelea kabla ya kubadili katiba yetu. I can smell a mix of union n united here!!!Tusipoangalia tutaelekea kuharibu nchi yetu ambayo inaendelea vizuri. This is because kama in a new constitution tuta-consider sana issues that have to do with political-satisfactions, its effect may not hold on the ground thus chaos will arise.

NB:Sijaongelea mengine ktk katiba kwani naamina mengine yote yanategemea na structure ya muungano.
 
Miccm inataka tuwe na katiba wanayoitaka wao! Na hilo haliwekani kwani ni kinyume na principles za demokrasia!
...
Kwani huu muungano wanaoung'ang'ania ukivunjika kutakua na hasara gani?
Ujinga tu!
 
Hakuna cha kuogopesha. Kama Muungano utakuwa wa serikali mbili, kero zitazidi hizi mtulizo nazo kama ni serikali tatu, watanganyika hawatakubali Raisi wa kuteuliwa / kupokezana na hawatakubali wasiwe na mamlaka ya mambo yao saba katika pg ya mwisho ya rasimu. Njia ya kuridhiana ni kuwa na muungano utakao tambua Tanganyika kama taifa huru na Zanzibar Taifa huru. Hala tuangalie mambo yenye faida (interests) kwa nchi zetu.
Bila ya hivi tutakuwa tunasumbuana tu. Tuweni wawazi(open mineded) na wakweli. Venginevi ni kuvuga vuga tu.
 
Back
Top Bottom