Tuwekane wazi, Mo Dewji anafaidikaje pale Msimbazi?

Tuwekane wazi, Mo Dewji anafaidikaje pale Msimbazi?

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,064
Reaction score
4,056
Habari zenu wakuu.

Nimepigwa swali na shabiki wa yanga baada ya kubeza kitendo Chao Cha kumbeba kitemi Senzo.

Kwa anayefahamu majibu tafadhali.
 
Kwa sasa anatoa kwa hisani tu hapati faida zaidi ya heshima anayopewa na wanamsimbazi.

Labda kama simba itafanikiwa huko kwenye michuano mikubwa ndo anaweza kurudisha sehemu ya hasara.
 
Back
Top Bottom