kalisheshe JF-Expert Member Joined Mar 19, 2020 Posts 2,064 Reaction score 4,056 Aug 20, 2020 #1 Habari zenu wakuu. Nimepigwa swali na shabiki wa yanga baada ya kubeza kitendo Chao Cha kumbeba kitemi Senzo. Kwa anayefahamu majibu tafadhali.
Habari zenu wakuu. Nimepigwa swali na shabiki wa yanga baada ya kubeza kitendo Chao Cha kumbeba kitemi Senzo. Kwa anayefahamu majibu tafadhali.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Aug 20, 2020 #2 KICHWA CHA HABARI NA UZI TOFAUTI
U Unknown2 JF-Expert Member Joined Oct 16, 2016 Posts 2,352 Reaction score 5,055 Aug 20, 2020 #3 Anatangaza bidhaa zake.
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Aug 21, 2020 #4 Taifa huruhusiwi kuingia na maji ila ndani unakuta bidhaa zake zinauzwa kwa wingi
mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,682 Reaction score 10,801 Aug 21, 2020 #5 Kwa sasa anatoa kwa hisani tu hapati faida zaidi ya heshima anayopewa na wanamsimbazi. Labda kama simba itafanikiwa huko kwenye michuano mikubwa ndo anaweza kurudisha sehemu ya hasara.
Kwa sasa anatoa kwa hisani tu hapati faida zaidi ya heshima anayopewa na wanamsimbazi. Labda kama simba itafanikiwa huko kwenye michuano mikubwa ndo anaweza kurudisha sehemu ya hasara.
P Payrol JF-Expert Member Joined Feb 17, 2018 Posts 2,286 Reaction score 3,082 Aug 21, 2020 #6 kalisheshe said: Habari zenu wakuu. Nimepigwa swali na shabiki wa yanga baada ya kubeza kitendo Chao Cha kumbeba kitemi Senzo. Kwa anayefahamu majibu tafadhali. Click to expand... Unakimbilia wapi, andika vzr
kalisheshe said: Habari zenu wakuu. Nimepigwa swali na shabiki wa yanga baada ya kubeza kitendo Chao Cha kumbeba kitemi Senzo. Kwa anayefahamu majibu tafadhali. Click to expand... Unakimbilia wapi, andika vzr