GAGL
JF-Expert Member
- Aug 5, 2010
- 392
- 400
Najua hili litawavuruga wengi lakini ukweli ni kwamba hakuna kiongozi yoyote wa taifa huru la Afrika aliyeasisi taifa hilo baada ya ukoloni. Mataifa hayo yaliasisiwa na wakoloni wenyewe.
Sababu ya kusema hivi iko wazi kabisa, kabla ya ukoloni hakukuwa na mipaka ya kijiografia wala kisiasa bali kulikuwa na mipaka ya himaya ndogo ndogo za kifalme na kichifu. Himaya hizo hazikuwa mataifa hadi pale Bismark alipofanya yake ambayo baadae yakazaa mataifa huru ya Afrika.
Hapa kwetu Mwalimu aliasisi jina tu miaka mitatu baada ya uhuru sio taifa.