Taifa ni nini?!!Najua hili litawavuruga wengi lakini ukweli ni kwamba hakuna kiongozi yoyote wa taifa huru la Afrika aliyeasisi taifa hilo baada ya ukoloni. Mataifa hayo yaliasisiwa na wakoloni wenyewe.
Sababu ya kusema hivi iko wazi kabisa, kabla ya ukoloni hakukuwa na mipaka ya kijiografia wala kisiasa bali kulikuwa na mipaka ya himaya ndogo ndogo za kifalme na kichifu. Himaya hizo hazikuwa mataifa hadi pale Bismark alipofanya yake ambayo baadae yakazaa mataifa huru ya Afrika.
Hapa kwetu Mwalimu aliasisi jina tu miaka mitatu baada ya uhuru sio taifa.
kuasisinTaifa huruNajua hili litawavuruga wengi lakini ukweli ni kwamba hakuna kiongozi yoyote wa taifa huru la Afrika aliyeasisi taifa hilo baada ya ukoloni. Mataifa hayo yaliasisiwa na wakoloni wenyewe.
Sababu ya kusema hivi iko wazi kabisa, kabla ya ukoloni hakukuwa na mipaka ya kijiografia wala kisiasa bali kulikuwa na mipaka ya himaya ndogo ndogo za kifalme na kichifu. Himaya hizo hazikuwa mataifa hadi pale Bismark alipofanya yake ambayo baadae yakazaa mataifa huru ya Afrika.
Hapa kwetu Mwalimu aliasisi jina tu miaka mitatu baada ya uhuru sio taifa.
Hawezi kukujibu maana aliandika bila kuijua maana ya hilo neno mkuu. Tumsaidie aelewe kwanini wanaitwa wasisi wa TaifaTaifa ni nini?!!
Ethiopia na Misri ni moja ya mataifa ya ki-Afrika ambayo ni makongwe na tawala zao zilikuwepo kabla ata ya civilization ya mataifa ya ulaya ya sasa. Ni kweli mataifa mengi ya afrika yameungwa ungwa tu ndiyo maana utaona jamii moja iko pande mbili au zaidi. Mipaka hii ya wazungu haikutilia maanani jamii zilizokuwepo mpakani, mila au desturi. Nahisi unahitajika mjadala wa kugawa upya nchi zetu kwa minajili ya kijamii, mila na desturi ili kuwa na mataifa yenye watu wanaoshabihiana au kuunganisha nchi zote ili kuwe na United States of Africa (hii ni ndoto tu kama wet dream)
Wapi nilipopinga hoja yako?.......usikimbie swali tuelimishe kwanza Taifa maana yake ni nini kama ulivyoitumia kwenye hoja yako!Hoja hupingwa kwa hoja sio swali dhidi ya hoja. Tusaidie kufafanua ili tujadili. Kama na wewe hujui basi kaa kimya.
Inaweza isilete ugomvi kama mataifa yatakubaliana mambo ya msingi ikiwa ni pamoja na:Hii ya kugawa upya italeta Ugomvi mkubwa. NASHAURI tujielekeze katika kuunganisha mataifa yote ya Africa liwe taifa moja lenye nguvu. Najua ni ngumu lakini inawezekana sana tu, tuanzishe vitukuu vitakamilisha
Ufafanuzi upi mkuu?Hata baada ya kuweka ufafanuzi bado hutaki kukubaliana na hoja yangu, au hata ulichopost hukijui, lugha inasumbua.
We si ndiyo umeweka definition ya "Country"Ufafanuzi upi mkuu?
[IMG alt="GAGL"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/25/25058.jpg?1533671309[/IMG]
GAGL
JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2010
224 225
Najua hili litawavuruga wengi lakini ukweli ni kwamba hakuna kiongozi yoyote wa taifa huru la Afrika aliyeasisi taifa hilo baada ya ukoloni. Mataifa hayo yaliasisiwa na wakoloni wenyewe.
Sababu ya kusema hivi iko wazi kabisa, kabla ya ukoloni hakukuwa na mipaka ya kijiografia wala kisiasa bali kulikuwa na mipaka ya himaya ndogo ndogo za kifalme na kichifu. Himaya hizo hazikuwa mataifa hadi pale Bismark alipofanya yake ambayo baadae yakazaa mataifa huru ya Afrika.
Hapa kwetu Mwalimu aliasisi jina tu miaka mitatu baada ya uhuru sio taifa