Tuweke rekodi sawa majina yenu mlijipa wenyewe. Haji Manara is taking you for a ride

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Naona Haji Manara ngozi anasifiwa leo eti kawapa jina simba wanaitwa makorokoro fc, hivi huo ndio ubunifu aliowahiidi? kabla hata hajaja huko si mlishajaribu majina kama mikia, simbilisi, utelembwe??

Mnajua ni kwa nini jina la utopolo lilibamba? Mlijipa wenyeweeeeeeee yaaani wenyeweeeee sisi majina tunayojiita ni MNYAMA, TAIFA KUBWA,MABINGWA WA NCHI

Kwanza mr utopolo mwenyewe anazungumziaje juu ya ujio wa manara hapo camp?

Mr utopolo alikua kwenye mgogoro na mzee mpili sijui vuta nikuvute yao iliishia wapi
Sio mr utopolo tu, wanachama wengi maarufu wa yanga kasoro Jimmy kindoki wote wamenyuti sijasikia wakiongea kitu, Jimmy kindoki anakuambia team ya media ya mamelodi ina watu 126 anajipigia debe na yeye aongezwe huko.

Ila juzi nilifurahia jinsi Nugaz alivyojajua majukumu yake mapya mapema, maskini alikuwa bize kuweka mic sawa nafikiri kwa sasa hata chai anapika yeye
 
Sio mr utopolo tu, wanachama wengi maarufu wa yanga kasoro Jimmy kindoki wote wamenyuti sijasikia wakiongea kitu, Jimmy kindoki anakuambia team ya media ya mamelodi ina watu 126 anajipigia debe na yeye aongezwe huko

So nugaz naye kakubali kuwa chini ya haj au kawekwa kitengo kikubwa ambacho atakua juu ya manara?

Hatma yake ni ipi?
 
wanamshangilia mlemavu wa ngozi kwa ubunifu wa kuiiita simba makorokoro fc. wamelipuka kwa shangwe kubwa
Acha ubaguzi wewe Kolo FC ,tulieni dawa iwaingie umesahau anayecheka mwisho ndiyo mshindi.
 
Sio mr utopolo tu, wanachama wengi maarufu wa yanga kasoro Jimmy kindoki wote wamenyuti sijasikia wakiongea kitu, Jimmy kindoki anakuambia team ya media ya mamelodi ina watu 126 anajipigia debe na yeye aongezwe huko
Ila juzi nilifurahia jinsi Nugaz alivyojajua majukumu yake mapya mapema, maskini alikuwa bize kuweka mic sawa nafikiri kwa sasa hata chai anapika yeye
Makolokolo FC tulieni huu mwanzo tu
 
naona mlemavu wa ngozi anasifiwa leo eti kawapa jina simba wanaitwa makorokoro fc, hivi huo ndio ubunifu aliowahiidi? kabla hata hajaja huko si mlishajaribu majina kama mikia, simbilisi, utelembwe?....
Mtanie Haji kimpira.

Ulemavu wake wa ngozi hakuomba
 
Kwanza mr utopolo mwenyewe anazungumziaje juu ya ujio wa manara hapo camp?

Mr utopolo alikua kwenye mgogoro na mzee mpili sijui vuta nikuvute yao iliishia wapi
yeye ndo alikuwa anasema manara ni yanga lia lia
 
wanamshangilia mlemavu wa ngozi kwa ubunifu wa kuiiita simba makorokoro fc. wamelipuka kwa shangwe kubwa
Usimshambulie mtu kwa ulemavu wake

bado amebarikiwa vizuri tu na muumba

Mimi ni Simba damu lakini sipendi unapotaka kuingiza karama za muumba kwenye kumshamhulia mtu

hujafa hujaumbika
 
Kwanza mr utopolo mwenyewe anazungumziaje juu ya ujio wa manara hapo camp?

Mr utopolo alikua kwenye mgogoro na mzee mpili sijui vuta nikuvute yao iliishia wapi
Na kale kazee Mpili wanakokasifia kuliko Fei Toto kamesemaje?
 
Unawaita watu majina ya ajabuajabu kana kwamba una uchungu sana na simba,umewahi kutoa hata thumni tu hapo simba
 
Huyo unayemtetea aliwahi kuwacheka na kuwadhihaki Yanga walivyopata ajali ya basi lao, unamuona huyo mtu yuko sawa kichwani? au yeye sababu mlemavu alikuwa anataka na wachezaji wa yanga wavunjike miguu kwenye hiyo ajali?
 
Usimshambulie mtu kwa ulemavu wake

bado amebarikiwa vizuri tu na muumba....
kamuulize vizuri Hasan bumbuli alivyomshukia kama mwewe baada ya huyo shujaa wako kushangilia tyre la mbele la basi la utopolo kupasuka almanusura wachezaji wafe au kupata ulemavu, huyo ndiye mtu unayekazania nimuheshimu?
 
Haji will never be my hero

ninachosema - unaweza kumshambulia bila unyanyapaa wa ulemavu wake
 
Mods futeni hii takataka haifai kuwepo mbele yetu wanasoka
 
Back
Top Bottom