njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
- Thread starter
-
- #21
Huyo anayeitaga watu kilo 800, kuchekelea ajali ya yanga ndiye anayefaa siyo? Huyu hapa anayelialia kwamba Bumbuli siyo mtu mzuri baada ya kulalamikiwa kushangilia ajali mbaya ya yanga ndiye mwanamichezo siyo?Mods futeni hii takataka haifai kuwepo mbele yetu wanasoka
Kale sidhani kama kana noma maana kalitulizwa na ile 1M baada ya manara kuuza mechiNa kale kazee Mpili wanakokasifia kuliko Fei Toto kamesemaje?
hii sisi wana yanga hatuioni tuna mahaba na manara katutia upofu hatuoni ubaya wake aliotufanyia tume focus kuangalia kauli zakebehi kwake dhidi ya simbaHuyo anayeitaga watu kilo 800, kuchekelea ajali ya yanga ndiye anayefaa siyo? Huyu hapa anayelialia kwamba Bumbuli siyo mtu mzuri baada ya kulalamikiwa kushangilia ajali mbaya ya yanga ndiye mwanamichezo siyo?
INASHANGAZA SANA KWA KWELI: HUYU MTU AKIDHALILISHA WATU MNAFURAHI SANA NA KUMUONA HERO, yeye akiguswa ni dhambi kabisaaaaaaaaaa
View attachment 1909488
Haji will never be my hero
ninachosema - unaweza kumshambulia bila unyanyapaa wa ulemavu
Mtafuteni mashaka mr utopolo awatafutie jina zuri la kuwapachika simbahii sisi wana yanga hatuioni tuna mahaba na manara katutia upofu hatuoni ubaya wake aliotufanyia tume focus kuangalia kauli zakebehi kwake dhidi ya simba
Mkuu tukifanya hivyo familia yake haitaenda chooni the only way kumsaidia asijirekodi kulialia ni mkumfanya awe relevant na kubishana bishana ujinga mtandaoniMi naona busara kuachana nae tusimjibu tena
Majibu yetu yatoke na mafanikio ya uwanjani
...Umesema vyema ndugu. Hakuna mlemavu aliyeomba hali hiyo..Anayekupa wewe uzima ndo aliyempa mwingine ulemavu. Hujafa, hujaumbikaUsimshambulie mtu kwa ulemavu wake
bado amebarikiwa vizuri tu na muumba
Mimi ni Simba damu lakini sipendi unapotaka kuingiza karama za muumba kwenye kumshamhulia mtu
hujafa hujaumbika
Mr Mashaka a.k.a general Uto alisema maana ya neno Utopolo kwa kihehe ni kitu cha ajabuajabu kilicholegea kama mlenda hakika utopolo ushakuwa msemo maarufu sana karibu unaingia rasmi kwenye kamusiKuna klabu Chile inaitwa Colo-colo naona inataka kufanania na makorokoroš¤£View attachment 1909542
Google wanatambua utopolo na Yanga ki kama chanda na pete, Yanga ni utopolo na Utopolo ni YangašMr Mashaka a.k.a general Uto alisema maana ya neno Utopolo kwa kihehe ni kitu cha ajabuajabu kilicholegea kama mlenda hakika utopolo ushakuwa msemo maarufu sana karibu unaingia rasmi kwenye kamusi
Mimi Simba damuMtafuteni mashaka mr utopolo awatafutie jina zuri la kuwapachika simba