Tuweke Siasa Mbali Na Michezo

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Madagascar kwa hapo walipofika tu panatosha sana kutupa funzo kubwa kuwa tunakosea pahala!
Leo hii nchi hiyo yenye population ya watu milioni 27...na hata Burundi yenye watu milioni 11..kufikia kuonyesha kiwango kizuri kutuzidi sisi wenye population ya watu milioni 50...ni budi tujenge hoja.
Badala Ya kujenga msingi imara wa michezo hususan soka tumekua watu wa maneno Mengi na siasa kuliko vitendo na matokeo!
Kumbe hata Zanzibar wangeweza kutikisa bara la afrika siku moja kama isingekua mambo Ya siasa! Ninavyowajua Zanzibar wao wana moyo na uzalendo wa upamba naji
Tanzania kwa ujumla wake si watu wa kushindwa na nchi ndogo kama Burundi!
Tujiulize waganda wamefanya nini hadi kufikia ubora walionao wao waweze wana nini na sie tushindwe tuna nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…