Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Wana JF,
Rasimu ya Katiba mpya ina vipengele muhimu sana kwa nchi yetu.Lakini kuna vifungu ambavyo vinawahusu Wabunge na Mawaziri moja kwa moja. Na wao watakuwepo wakati wa upitishaji au kutopitisha vifungu hivyo wakati wa Bunge la Katiba.
Wadau wengi wamependekeza kuwepo kwa ukomo wa Mbunge ambapo itakuwa ni miaka kumi (10). Swali Je, Wabunge wwenyewe ambao watakuwa
wengi watakubali kifungu hiki kipitishwe?
Kuna Wabunge wengi sana ambao ni wazee (Vibabu) wako Bungeni, wengine toka tukiwa wadogo tunawasikia mpaka leo wapo....na hawataki kuachia. Watakubali kweli kuwepo na Ukomo wa Mbunge?