Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Wana JF,
Rasimu ya Katiba mpya ina vipengele muhimu sana kwa nchi yetu.
Lakini kuna vifungu ambavyo vinawahusu Wabunge na Mawaziri
moja kwa moja. Na wao watakuwepo wakati wa upitishaji au kutopitisha
vifungu hivyo wakati wa Bunge la Katiba.
Wadau wengi wamependekeza kuwepo kwa ukomo wa Mbunge ambapo
itakuwa ni miaka kumi (10). Swali Je, Wabunge wwenyewe ambao watakuwa
wengi watakubali kifungu hiki kipitishwe??????
Kuna Wabunge wengi sana ambao ni wazee (Vibabu) wako Bungeni, wengine toka
tukiwa wadogo tunawasikia mpaka leo wapo....na hawataki kuachia. Watakubali
kweli kuwepo na Ukomo wa Mbunge?????
Najaribu kufikiri unafuu atakaopata mwananchi kwa uwepo wa huo ukomo nakosa jibu. Kuna mambo ya ovyo tuliyowekewa kwenye rasimu ambayo watu hawataki kuyaangalia kabisa.Time limit kwa wabunge useless clause ningekuwa na wasaa ningepinga kwa nguvu zote..
Time limit iishiee kwa Rais tu..
kwanini unadhani unafaa kwa raisi na kwawabunge haifai?Time limit kwa wabunge useless clause ningekuwa na wasaa ningepinga kwa nguvu zote..
Time limit iishiee kwa Rais tu..
kwa miaka 10 ni kidogo angalau miaka 15
Ndugu yangu Mandla tusibiri tuone maana wabunge wa Tanzania wako kimaslahi zaidi. Je wa viti maalum watakubali kipengele cha wao kufutwa kiwepo?
kwanini unadhani unafaa kwa raisi na kwawabunge haifai?
Kuna watu wana hati miliki ya viti maalum na inabidi waitwe vitu maalum akiwa na sophia Simba. Ila mwisho wa yote nawaomba sana wawe makini nchi hii ni yetu sote na wala si ya CCM wala CHADEMAViti Maalumu ni kazi pevu kabisa.
Hivi Anna Abdallah toka zamani kweli ni viti maalum,,,,Atakubali kweli kipengele
hicho kifutwe???