Mfano hai saa hii kipindi cha pili Geita fc dhidi ya Simba tupo hapa sawa sawa bay counter...kwa ujumla wake watu tunaoangalia/kufuatilia mchezo huu hatuzidi watu 10 ! Nimewatania hapa hawa ndg zetu nimewaambia mbona mpira wenu haufuatiliwi?mbona hamuipendi timu yenu kuiangalia?jana tumeangalia game ya Yanga kule Kibo zonevibe la kutosha watu zaidi ya 100..na zilitawala jezi nyeusi kwa washabiki wake kwa waume...jamani yanga tuko vizuri.