Tuweke vyanzo vipya ili tuipate Katiba Mpya

Tuweke vyanzo vipya ili tuipate Katiba Mpya

Sanyambila

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2018
Posts
378
Reaction score
510
Kama Katiba Mpya haikuwekwa kwenye Irani ya chama chetu nashauri kwa kuwa KATIBA si Mali ya chama chochote kama nilivyosikia leo chama Fulani kinasema ni "Jambo letu na sisi ndo tume asisisi " hapana tunaomba swala KATIBA MPYA liwe letu sote na kama linafukuta kiasi hiki sasa tuliwekee mchakato

1. Mchakato uanze pale ulipoishia au uanze upya?

2. Vyanzo vya fedha ya kuipata KATIBA MPYA inaweza gharimu TSH. 1.5Trilion Mpaka mchato wote na kuipata KATIBA MPYA
Sasa kwa kuwa Serikali haikujipanga tangu mwanzo tuwauzie mawazo ya vyanzo vya mapato ya KATIBA MPYA
Mimi naanza hapa twende.

Kama pesa tatizo Katiba Mpya tushirikishe wadau wao wanasemaje?

1. Ruzuku za vyama kwa mwaka zichukuliwe zipelekwe kwenye KATIBA MPYA

2. Pia Wabunge wakatwe Tsh. 500,000/ kila moja kila mwezi kwa mwaka mmoja

3. Kuandaliwe Mechi za mpira wa miguu kuwe na kombe la katiba MPYA viingilio vyote viende kwenye Katiba Mpya.

4. Kuwe na harambee kila mwezi ikiwa kama tamasha la music wanamuziki 30 wakubwa na wadogo kila jukwaa kuanzia wilaya na mkoa kiingilio ndo ipelekwe Katiba Mpya

5. Fedha zote za uhujumu uchumi na zile faini za chadema ziingizwe kwenye Katiba Mpya

Ongeza vyanzo vingine ili tupate Katiba Mpya tumsaidie mama Mawazo ili ashawishike na katika hili Rais wetu SSH ataingia katika records za dunia kuleta katiba mpya bila kuwepo kwenye Irani ya chama chake
 
Back
Top Bottom