Tuwekee picha ya gari ya ndoto yako...

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Posts
10,420
Reaction score
17,735
Tunatafuta pesa ili zituhudumie na kuwasaidia wengine.
kwenye ulimwengu wa usafiri nimegundua kila mtu anatamani Mungu akimuwezesha anatamani awe na aina flani ya gari, ingawa wengine tayari wameshafikia na wngine tunajikongoja maana ni faida kuwa na njozi kuliko kuishi bila ndoto yoyote.

Mimi Ford Ranger

huyu mnyama hasa hizi latest nikiiona inanichanganya sana.
 
GARI B


GARI BOVU SANA HILO KATIKA GEAR BOX
 
Na hii
 
BMW 320d cóuple 2007 ///M Sport (e92).
Sema hii bei mbaya sana (Hiyo Black 2 Doors).

Ila Mungu bariki nipate BMW 320i Sedan ya 4 Doors. Sio M Version (e90).

Hii napata kwa Mil 20 kutoka Japan na kulipa kodi Bandari na TRA.

Ushuru wake kama Tsh Mil 12 TRA ya mwaka 2008.

Dah jamani hii kitu ni tamu. Ingawa napigwa mkwara kwamba engines za BMW zenye herufi N ni nzuri tu zikiwa nzima, ila Sisikii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…