Mbinu ya zamani kidogo ya utapeli japo inaweza kuwa mpya kwa ambaye hajakutana nayo.Kuna utapeli umeibuka kwanjia ya simu, kuna namba uwa unakua nazo kwenye ,sim aiza rafiki au ndugu,anakupigia simu, uyo ndugu au rafiki anajifanya yupo hospital kwamaba kalazwa, anakwambia nina mjomba yangu yopo aiza kwenye ifazi, kwaiyo anataka ampe namba yako, umsaidie jambo, sasa akimpa atakupigia na kuanza kukwambia kuna wageni anakuja nao kutoka uko kwenya ifazi sasa wew ndio unabidi uwapokee,yani kiukweli nazani mshanielew, ataanza kukupanga mazingira ya pesa, yani apo apo mtukane au mkatie cm au mublok,
NakaziaKwa uandishi huo wa aiza,ifazi lazima wakutapeli
Sawa mkuu, ila matumizi ya 'h' pia yazingatiweKuna utapeli umeibuka kwanjia ya simu, kuna namba uwa unakua nazo kwenye ,sim aiza rafiki au ndugu,anakupigia simu, uyo ndugu au rafiki anajifanya yupo hospital kwamaba kalazwa, anakwambia nina mjomba yangu yopo aiza kwenye ifazi, kwaiyo anataka ampe namba yako, umsaidie jambo, sasa akimpa atakupigia na kuanza kukwambia kuna wageni anakuja nao kutoka uko kwenya ifazi sasa wew ndio unabidi uwapokee,yani kiukweli nazani mshanielew, ataanza kukupanga mazingira ya pesa, yani apo apo mtukane au mkatie cm au mublok,
Ukute ni gen z maana wengi wao wana uandishi mbovuuuuu🙆♂️Kwa mwandiko huu ni lazima utapeliwa. Unaandika kama bata