Tuweni makini siku mbili zilizobaki ni zaidi ya miaka 100

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wapo wanaosingizia kila kitu mapenzi ya mungu
mpaka jana namuuliza mama didy hivi huyu mungu ana mapenzi mangapi kila mtu akifa
kwa kujitakia mapenzi yake kwa bahati mbaya mapenzi yake ...kwa kukusuudia yake pia
basi ukitaka mungu awasamehee unaowacha kwa uzembe wako naomba siku mbili zilizobaki
kuelekea mwaka mpya ni nyingi kuliko miaka 100 ya nyuma
tuwe makini kwenye sehemu tunazoenda
ukatishaji wa barabara nao ni muhimu zaidi
uendeshaji wa pikipiki muwemakini sana hasa mnapobeba nyumba zenu kubwa
endelea kumkumbatia mungu wako aliekufishika mpaka sasa ni huyo huyo anaekuvusha to 2012

beter is not good enough best is yet to come

l'ya all
happy new yr 2012

imenidibidi niandike mwaka unajua haata mapepo yana miaka yao sasa hujui wao leo ndio mwakampya wao ama lah tunatakiana tu mwaka mpya mwaka mpya
 
Kweli ukiangalia mf Da Halima Mchuka jana alikuwa anatangaza redioni leo hayupo,ni kumuomba Mungu tu.
 
Alasiri hii nimetoka Motuary kuaga marehemu naye aliamini kabisa kuwa atauona mwaka 2012. Kila mtu achukua tahadhari hasa wanandoa tuepuke kuwaudhi wenzi wetu wasije pandisha presha tukaanza kusingizia mapenzi ya Mungu
 
Na kweli
tutakuwa waangalifu na familia zetu.
 
Hata kama unaamini mungu yupo, assume kama hayupo na kazi ya kujilinda ni yako mwenyewe.
 
Asante mkuu Happy new year 2012 too
 
Mkuu, its illogical kuwa makini kwa siku mbili tuu; nadhani inabidi tuwe makini siku zote na tukimwomba Mwenyezi Mungu kila wakati kuanzia Jan. to Dec.! Fikiria unakuwa makini kwa siku mbili, unavuka mwaka then tarehe 1 January unafakamia VAT69 kupita kiasi, kisha tunakusahau!
 
Kweli ukiangalia mf Da Halima Mchuka jana alikuwa anatangaza redioni leo hayupo,ni kumuomba Mungu tu.


kabisa emilia mbaya zaidi tar kama aya jana mwaka 2006 dec alipata stroke kwa mara ya kwanza inahuzunisha sana saana jamani dadaetu alikuwa ajui kuongea ukimuuzi anakwambia pole wewe ama samahani alafu unaenda kujijua mwisho wa safari imekuwa vipi?
Mungu awape hekima na uvumilivu wanafamilia wakati huu mgumu watamzika kesho saa tano makaburi ya masasani kabla ya sala ya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…