Tuyaenzi Mapinduzi ya Zanzibar Milele na Milele!

Tuyaenzi Mapinduzi ya Zanzibar Milele na Milele!

Tuyaenzi Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 1964 Milele na Milele. Zanzibar ndio alama yetu pekee tunayoitegemea hapa Visiwani. CCM oyee.

NB: Karibuni katika sherehe ya kusherehekea miaka 60 ya kumfurusha Sultani.
Revolution is bitch game

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Tuyaenzi Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 1964 Milele na Milele. Zanzibar ndio alama yetu pekee tunayoitegemea hapa Visiwani. CCM oyee.

NB: Karibuni katika sherehe ya kusherehekea miaka 60
Naunga mkono hoja, Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, yaenziwe milele ndio maana yanaitwa ni Mapinduzi Daima!, ambayo ndio yaluyotuletea huu muungano wetu adhimu ambao tutaulinda kwa gharama yoyote.
P
 
Mapinduzi yamemnyima babu wa babu yangu demu wa kihindi.
 
Kakoloni la Tanganyika ambako hakaruhusiwi kujichagulia rais. Rais wake lazima achafuliwe na Dodoma.
 
Naunga mkono hoja, Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, yaenziwe milele ndio maana yanaitwa ni Mapinduzi Daima!, ambayo ndio yaluyotuletea huu muungano wetu adhimu ambao tutaulinda kwa gharama yoyote.
P
Nawatakia maadhimisho mema ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
P
 
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya mwaka 1964 NI Jambo adhimu kwa nchi yetu. Hivyo nikiwa Mzalendo halisi wa nchi yangu ninayo wajibu wa Kuyaenzi l
, kuyatukuza na kuyalinda Mapinduzi daima.
 
Nenda YouTube andika Aman Thani, msikilize clips zote halafu urudi hapa.
 
Back
Top Bottom