Tuyatafakari kwa kina maneno ya Askofu Joseph Gwajima kwenye ujumbe huu

Tuyatafakari kwa kina maneno ya Askofu Joseph Gwajima kwenye ujumbe huu

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
FB_IMG_17418407421406114.jpg


 
Una uhakika hayo ni maandiko yake?. Sidhani kama mnufaika anaweza kusema hivyo.
 
Kauli kama hiyo inahusiana na atheist kuliko, priest.

Vinginevyo hata huyo ‘Georges Lamaitre’ pamoja na uelewa wake mpana wa Physics na kuheshimu science. Iła kwa imani yake na kwa taaluma ya kwanza as a ‘catholic priest’ alitafuta loope holes kwenye ‘General relativity’ theory na kuja na ‘bing bang theory’.

Bing Bang theory, maana yake kwa religious perspective dunia ina beginnings na wanasayansi hawawezi jibu kabla ya bing bang kulikuwa na nini. Watu wenye elimu ya dini na sayansi watasema huyo ndio mungu mwenyewe.

Hiyo kauli ya Gwajima is more related to Plato ‘cave allegory’, kuliko religious beliefs. Hakuna church priest anaweza ongea ujinga huo (kama kweli. Gwajima kasema).

Inakwambia, jamaa ni tapeli tu, hana tofauti na matapeli wengine.
 
Yuko sawa kama mavaa kobazi yameaminishwa na mudi uko akhera watapata mademu 72 wny macho kama vikombe sjui viuno vikubwa, pia watapata pombe za wanzuki na gongo. Kama hiyo haitosh yameaminishwa kuua asiye muislam ni heshma na thawabu ndo maana majamaa yanaua sn wakristo ajabu hawawagusi wabudha au wahindu, halafu mudi mwnyw hajui sku ya mwsho atakuwa wp ndo maana wafuasi wake humswalia kila sku.
 
Back
Top Bottom