Kauli kama hiyo inahusiana na atheist kuliko, priest.
Vinginevyo hata huyo ‘Georges Lamaitre’ pamoja na uelewa wake mpana wa Physics na kuheshimu science. Iła kwa imani yake na kwa taaluma ya kwanza as a ‘catholic priest’ alitafuta loope holes kwenye ‘General relativity’ theory na kuja na ‘bing bang theory’.
Bing Bang theory, maana yake kwa religious perspective dunia ina beginnings na wanasayansi hawawezi jibu kabla ya bing bang kulikuwa na nini. Watu wenye elimu ya dini na sayansi watasema huyo ndio mungu mwenyewe.
Hiyo kauli ya Gwajima is more related to Plato ‘cave allegory’, kuliko religious beliefs. Hakuna church priest anaweza ongea ujinga huo (kama kweli. Gwajima kasema).
Inakwambia, jamaa ni tapeli tu, hana tofauti na matapeli wengine.