HGYTXK
Senior Member
- Oct 3, 2011
- 194
- 70
KATIBA YA ZANZIBAR.
1. Zanzibar ni Nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la
Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka
na bahari yake ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar ikiitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
2. Zanzibar ni miongoni mwa Nchi mbili zinazounda Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania.
KATIBA YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
1. Tanzania ni nchi moja na ni Jamuhuri ya Muungano.
2-(1). Eneo la Jamuhuri ya Muungano ni eneo lote la Tanzania bara na eneo lote la Tanzania Zanzibar, na ni pamoja na sehemu yake ya bahari ambayo Tanzania inapakana nayo.
MY TAKE; Wanasheria naomba mnisaidie ni kwa nini katiba ya Jamuhuri ya Muungano imeshindwa kuzitaja kiunagaubaga nchi mbili zinazounda Muungano huo ilhali katiba ya wenzetu wa Zanzibar imezitaja kiuwazi kabisa nchi mbili zinazounda Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?.