Kwa mfano kama hii My WOMAN my eveeeeeery THING... , ni yupi unayemmanisha hapo? Mama, Kimada, au wife. Je, mzazi wako wa kike unamjali kiukweli ukweli kama unavyomjali kimada na wife wako?
Ndugu maneno ya kuchangamsha mdomo usinuke nayo wataka kuyaamini?hizo mbwembwe tu za lugha iwe ya kiswahili kizungu au kienyeji ila 99%hayaendani na ukweli wowote.
Wangapi waliyatamka na kuyala matapishi yao?