Tuzifahamu aina za Stroke/Kiharusi

Tuzifahamu aina za Stroke/Kiharusi

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Kuna aina mbili za Stroke/kiharusi.

Ischaemic Stroke...hii hutokana na damu kuvia/kuganda kweye mishipa inayopeleka damu kwenye Ubongo/formation of clots

Haemorrhagic stroke...hii hutokana na Kupasuka kwa mishipa inayosambaza damu kwenye ubongo/rupture of brain blood vessels.

Vichocheo ya Stroke ni kama vile Shinikizo la juu la damu,Magonjwa ya Moyo,Unywaji wa pombe,uvutaji wa Sigara,kiwango kikubwa cha mafuta ndani ya mwili,umri zaidi ya miaka 60,magonjwa ya Sukari.

Dalili zake...F.A.S.T

F...Face droping

A...Arm weakness

S...Speech difficult

T...time to call a doctor na dalili zingine kama vile,kichwa,Kizunguzungu,macho kutoona vizuri,mdomo kupinda,Ulimi kuwa mzito na pia tongue deviation.

Chukua tahadhari Stroke inaua na kuacha vilema sana.
 
Baada ya kueleza aina za stroke na dalili zake za FAST ungeeleza pia matibabu yake. Lakini aisee hiyo ya damu kuvuja ubongoni ni hatari ya hatari, tulimpoteza daktari wetu bingwa kwa stroke hiyo ya kuvuja damu ubongoni.Mungu atuepushie hizo balaa!
 
Baada ya kueleza aina za stroke na dalili zake za FAST ungeeleza pia matibabu yake. Lakini aisee hiyo ya damu kuvuja ubongoni ni hatari ya hatari, tulimpoteza daktari wetu bingwa kwa stroke hiyo ya kuvuja damu ubongoni.Mungu atuepushie hizo balaa!
Tunatibu visababishi Ndugu kama ni Pressure ya juu tunatibu pressure na ukishapata stroke ni mazoezi kwa sana na upasuaji unahusika hii ya Haemorrhagic inaua haraka sana kwa ischaemic atleast na mgonjwa hata akiwekwa kwenye Anti platelets anaweza kusurvive.
 
Back
Top Bottom