bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Kuna aina mbili za Stroke/kiharusi.
Ischaemic Stroke...hii hutokana na damu kuvia/kuganda kweye mishipa inayopeleka damu kwenye Ubongo/formation of clots
Haemorrhagic stroke...hii hutokana na Kupasuka kwa mishipa inayosambaza damu kwenye ubongo/rupture of brain blood vessels.
Vichocheo ya Stroke ni kama vile Shinikizo la juu la damu,Magonjwa ya Moyo,Unywaji wa pombe,uvutaji wa Sigara,kiwango kikubwa cha mafuta ndani ya mwili,umri zaidi ya miaka 60,magonjwa ya Sukari.
Dalili zake...F.A.S.T
F...Face droping
A...Arm weakness
S...Speech difficult
T...time to call a doctor na dalili zingine kama vile,kichwa,Kizunguzungu,macho kutoona vizuri,mdomo kupinda,Ulimi kuwa mzito na pia tongue deviation.
Chukua tahadhari Stroke inaua na kuacha vilema sana.