Tuzijue haki za watoto ndani ya katiba inayopendekezwa ibara ya 53.

Tuzijue haki za watoto ndani ya katiba inayopendekezwa ibara ya 53.

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
2,795
Reaction score
9
Haki za mtoto zimekuwa sehemu ya sheria mbalimbali za nchi yetu.

Pamoja na kuwepo kwa Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009, Katiba
Inayopendekezwa katika
IBARA YA 53 imeimarisha misingi ya kuzitambua haki za mtoto kikatiba.

Jambo hili limetokana na hali halisi ya mazingira wanayokabiliana nayo watoto katika nchi yetu.

Katiba Inayopendekezwa inalenga kuhakikisha kwamba zinakuwepo sheria mahsusi za kuwalinda watoto dhidi ya ubaguzi na unyanyasaji wa aina zote.


View attachment 236119
 
Back
Top Bottom