Kama Taifa tuna mambo ya msingi sana mbele yetu kutumia muda wetu kurushiana matusi.
Bila ya kujali itikadi zetu tuyakatae yote yanayodhalilisha utu wa mtu, bila ya kujali mlengwa au mlenga kwa cheo, mhusika au chama.
Mambo kama haya:
Kauli kama:
1. "Tulizo Mat*ko wewe!"
2. "U baji na M@vi yako nyumbani."
3. "Kina mama mnataka kupalilia."
4. Nk
Kumekuwa na kauli zingine kama hizi "tuwaue au tumwue" zikitolewa na vigogo wa vyama hadharani. Kwa hakika hizi hazikubaliki kwani hata ni makosa ya jinai.
Haijalishi ni chama gani au dhamana gani anayo mtoa kauli kama hizo kwa kweli hazifai.
Kama taifa tunaweza kuuweka uwanja wetu wa makabiliano kuwa wa kushindana kwa hoja zaidi wala si matusi.
Ninawasilisha.