Tuzisaidie mamlaka kutenda kwa tafakuri na kuepuka undumilakuwili

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Kama sio asili inachukua mkondo wake kwamba haya yanatotokea hayana budi/ yana budi kutoka, basi kuna genge la watu lina nia mbaya sana na Tanganyika huko mbeleni
Ama la linafanya haya yote kwa nia ya kumharibia mtu kuelekea uchaguzi mkuu 2025..lakini limeshindwa kupima madhara yake kwa matendo yao ya sasa!

Na Jeshi la polisi ndio inatumika vibaya sana kwenye huu mpango mkakati wa kuharibu taswira!

Vimetokea vifo vingi sana mwaka huu vinavyotokana na kuuliwa direct.. Na walengwa wakiwa ni wanasiasa wa upinzani na wakosoaji wa mamlaka za juu
Ni vifo vilivyoacha majonzi na maumivu mengi kwa ndugu jamaa na marafiki.. Ni vifo vilivyoacha mayatima na wajane wengi.. Maisha ya familia nyingi yameharibikia hapa!
Knachosononesha wengi na kuumiza sana ni ile hali ya wauaji kutochukuliwa hatua zozote na mamlaka husika.. Hii hali imetengenezwa sumu kali sana!
Wiki iliyopita ameuliwa afisa wa mamlaka ya mapato kwenye operation iliyojaa ukakasi mkubwa! Kifo chake kimechukuliwa kwa uzito mkubwa kupitiliza
.Amefanyiwa mazishi ya heshima sana
. Viongozi wengi wa chama na serikali wamehudhuria na kutoa matamko mazito
. Ofisi yake imesema inaangalia namna ya kumuajiri mke wa marehemu ili asiteseke na maisha
. Waziri wa fedha ameahidi kuwasomesha watoto wa marehemu
. Mkuu wa mkoa ameahidi 'kulisafisha' eneo alipopata madhila marehemu
.Polisi tayari imetoa taarifa ya kuwashikilia watuhumiwa wane huku wengine wengi wakiendelea kuhojiwa..
Watu mitandaoni wanahoji utofauti wa kifo hiki na hivyo vingine vyote vilivyotokea hasa wakati wa uchafuzi wa uchaguzi wa serikali za mitaa!

Kwamba kwasasa kuna matabaka ya raia Tanganyika?
1. Raia tabaka la kwanza- viongozi wa chama na serikali
2. Raia tabaka la pili- wafanyakazi na watendaji wa chama na serikali
3. Raia tabaka la tatu- wananchi wa kawaida na viongozi wao wa chama kikuu cha upinzani Tanganyika.. Ambao ndio wanastahili manyanyaso yote, kejeli, Dhihaka kutekwa, kupotezwa, na kuuliwa na asitokee mtu wa kuhoji wala kupata msaada wowote wa mamlaka za nchi..

Tuzisaidie mamlaka zetu kutenda kwa weledi, kwa usasa na kwa haki..hiki kikombe cha chuki kikijaa pomoni.. Hakuna ayakayesalimika!
20241210_034814.jpg
FB_IMG_1733753815750.jpg
 
Uzito kwa kifo cha "afisa"...umekuwa mkubwa sana kuliko vifo vingine!
Imewauma eeeh?
Karma is a bitch!
 
Kama sio asili inachukua mkondo wake kwamba haya yanatotokea hayana budi/ yana budi kutoka, basi kuna genge la watu lina nia mbaya sana na Tanganyika huko mbeleni
Ama la linafanya haya yote kwa nia ya kumharibia mtu kuelekea uchaguzi mkuu 2025..lakini limeshindwa kupima madhara yake kwa matendo yao ya sasa!

Na Jeshi la polisi ndio inatumika vibaya sana kwenye huu mpango mkakati wa kuharibu taswira!

Vimetokea vifo vingi sana mwaka huu vinavyotokana na kuuliwa direct.. Na walengwa wakiwa ni wanasiasa wa upinzani na wakosoaji wa mamlaka za juu
Ni vifo vilivyoacha majonzi na maumivu mengi kwa ndugu jamaa na marafiki.. Ni vifo vilivyoacha mayatima na wajane wengi.. Maisha ya familia nyingi yameharibikia hapa!
Knachosononesha wengi na kuumiza sana ni ile hali ya wauaji kutochukuliwa hatua zozote na mamlaka husika.. Hii hali imetengenezwa sumu kali sana!
Wiki iliyopita ameuliwa afisa wa mamlaka ya mapato kwenye operation iliyojaa ukakasi mkubwa! Kifo chake kimechukuliwa kwa uzito mkubwa kupitiliza
.Amefanyiwa mazishi ya heshima sana
. Viongozi wengi wa chama na serikali wamehudhuria na kutoa matamko mazito
. Ofisi yake imesema inaangalia namna ya kumuajiri mke wa marehemu ili asiteseke na maisha
. Waziri wa fedha ameahidi kuwasomesha watoto wa marehemu
. Mkuu wa mkoa ameahidi 'kulisafisha' eneo alipopata madhila marehemu
.Polisi tayari imetoa taarifa ya kuwashikilia watuhumiwa wane huku wengine wengi wakiendelea kuhojiwa..
Watu mitandaoni wanahoji utofauti wa kifo hiki na hivyo vingine vyote vilivyotokea hasa wakati wa uchafuzi wa uchaguzi wa serikali za mitaa!

Kwamba kwasasa kuna matabaka ya raia Tanganyika?
1. Raia tabaka la kwanza- viongozi wa chama na serikali
2. Raia tabaka la pili- wafanyakazi na watendaji wa chama na serikali
3. Raia tabaka la tatu- wananchi wa kawaida na viongozi wao wa chama kikuu cha upinzani Tanganyika.. Ambao ndio wanastahili manyanyaso yote, kejeli, Dhihaka kutekwa, kupotezwa, na kuuliwa na asitokee mtu wa kuhoji wala kupata msaada wowote wa mamlaka za nchi..

Tuzisaidie mamlaka zetu kutenda kwa weledi, kwa usasa na kwa haki..hiki kikombe cha chuki kikijaa pomoni.. Hakuna ayakayesalimika!View attachment 3173432View attachment 3173445
Ushahidi wa matamko yao utaishi miaka na miaka na watahukumiwa kwa hilo
 
Lakini kwa mujibu wa bibi chaudere sura ya 9:3-9 kifo ni kifo tuu hakuna sababau ya kuumana meno kwa wale wasio wake, lakini wakiuliwa walio wake anaukana mstari alioutamka yeye mwenyewe, wajaribu kusoma alama za nyakati
 
Kuna baadhi ya watu kwenye hii nchi wanajiona ni bora, na wana haki zaidi kuliko wengine. Hili jambo ni hatari sana kwa siku zijazo, kama tu litaachwa liendelee.
 
Pengine yanatokea ili unabii utimie
 
Kama sio asili inachukua mkondo wake kwamba haya yanatotokea hayana budi/ yana budi kutoka, basi kuna genge la watu lina nia mbaya sana na Tanganyika huko mbeleni
Ama la linafanya haya yote kwa nia ya kumharibia mtu kuelekea uchaguzi mkuu 2025..lakini limeshindwa kupima madhara yake kwa matendo yao ya sasa!

Na Jeshi la polisi ndio inatumika vibaya sana kwenye huu mpango mkakati wa kuharibu taswira!

Vimetokea vifo vingi sana mwaka huu vinavyotokana na kuuliwa direct.. Na walengwa wakiwa ni wanasiasa wa upinzani na wakosoaji wa mamlaka za juu
Ni vifo vilivyoacha majonzi na maumivu mengi kwa ndugu jamaa na marafiki.. Ni vifo vilivyoacha mayatima na wajane wengi.. Maisha ya familia nyingi yameharibikia hapa!
Knachosononesha wengi na kuumiza sana ni ile hali ya wauaji kutochukuliwa hatua zozote na mamlaka husika.. Hii hali imetengenezwa sumu kali sana!
Wiki iliyopita ameuliwa afisa wa mamlaka ya mapato kwenye operation iliyojaa ukakasi mkubwa! Kifo chake kimechukuliwa kwa uzito mkubwa kupitiliza
.Amefanyiwa mazishi ya heshima sana
. Viongozi wengi wa chama na serikali wamehudhuria na kutoa matamko mazito
. Ofisi yake imesema inaangalia namna ya kumuajiri mke wa marehemu ili asiteseke na maisha
. Waziri wa fedha ameahidi kuwasomesha watoto wa marehemu
. Mkuu wa mkoa ameahidi 'kulisafisha' eneo alipopata madhila marehemu
.Polisi tayari imetoa taarifa ya kuwashikilia watuhumiwa wane huku wengine wengi wakiendelea kuhojiwa..
Watu mitandaoni wanahoji utofauti wa kifo hiki na hivyo vingine vyote vilivyotokea hasa wakati wa uchafuzi wa uchaguzi wa serikali za mitaa!

Kwamba kwasasa kuna matabaka ya raia Tanganyika?
1. Raia tabaka la kwanza- viongozi wa chama na serikali
2. Raia tabaka la pili- wafanyakazi na watendaji wa chama na serikali
3. Raia tabaka la tatu- wananchi wa kawaida na viongozi wao wa chama kikuu cha upinzani Tanganyika.. Ambao ndio wanastahili manyanyaso yote, kejeli, Dhihaka kutekwa, kupotezwa, na kuuliwa na asitokee mtu wa kuhoji wala kupata msaada wowote wa mamlaka za nchi..

Tuzisaidie mamlaka zetu kutenda kwa weledi, kwa usasa na kwa haki..hiki kikombe cha chuki kikijaa pomoni.. Hakuna ayakayesalimika!View attachment 3173432View attachment 3173445
Kwaheri mkoloni, kwaheri Uhuru.
CCM ni mkoloni mbaya kuliko wote waliowahi kulitawala koloni hili.
 
Back
Top Bottom