Sabi Sanda
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 409
- 31
Watanzania Wenzangu,
Naomba tuanzishe utaratibu wa kuzitembelea mara kwa mara shule za msingi za umma ambazo ziko jirani na maeneo tunayoishi. Lengo kuu liwe ni kujenga uhusiano na ushirikiano wa karibu na walimu wa shule husika pamoja na kamati za shule na kuona ni kwa jinsi gani tunaweza kuunganisha nguvu zetu pamoja ili kuinua na kuimarisha taaluma katika shule zetu za msingi za umma.