Tuziseme addiction (uraibu) zetu na tusaidiane

Shetani wewe
 
Scrolling 🔼🔼🔼🔼🔼
 

Attachments

  • images (4).jpeg
    10.3 KB · Views: 21
Najitahidi niingie kwenye nyuzi nyengine ili nipotezee ule Uzi ila nahisi nimeshakuwa mraibu maana kuingia ni lazma japo kimya kimya


Warembo worldwide 😂
Huu mimi siku izi naupita tu nikiuona kwenye trending uzi mbaya sana ule unashawishi kurudi CHAPUTA
 
Mathayo11:28-30
Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi
Kushinda dhambi ni vita ya kiroho. Hili ni jambo tutakaloendelea kushindana nalo kila siku mpaka Yesu atakaporudi. Tumuombe Mungu sana atusaidie tuishinde hii vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…