Tuzo katika elimu

card78

Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
49
Reaction score
48
Napongeza sana utoaji wa tuzo katika elimu haswa kwa wale wanaofanya vizuri pamoja na walimu wao👍
Ila sijaelewa vigezo katika tuzo ya msimamizi bora wa mtihani🤔 Nn kinazingatiwa katika utoaji wa hizo tuzo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…