Luushu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2012 Posts 816 Reaction score 477 Nov 19, 2012 #1 Wana Jf naomba mtazamo wenu kuhusu hii tuzo ya mwalimu bora je inaweza ikapandisha kiwango cha elimu nchini ?
Wana Jf naomba mtazamo wenu kuhusu hii tuzo ya mwalimu bora je inaweza ikapandisha kiwango cha elimu nchini ?
chitambikwa JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 3,941 Reaction score 902 Nov 19, 2012 #2 Naona ifanyike kila Shule ,kata ,Tarafa,Wilaya,Kanda na Taifa. Na wanafunzi washirikishwe ,hapo itakuwa na maana .
Naona ifanyike kila Shule ,kata ,Tarafa,Wilaya,Kanda na Taifa. Na wanafunzi washirikishwe ,hapo itakuwa na maana .