Tuzo kwa wanafunzi watakao fanya vizuri mitihani ya NECTA

TVTA

New Member
Joined
Nov 5, 2014
Posts
1
Reaction score
0

Shirika lisilo la kiserikali la True Vision Tanzania (TVTA) limeanzisha programu maalumu yenye malengo ya kutoa motisha ya kuwaongezea kujiamini na kusoma kwa bidii wanafunzi wote wanaosoma kwenye shule za kata.

Kuanzia mwaka huu, TVTA itakuwa inatoa tuzo mbalimbali kwa wanafunzi toka shule za kata nchini kama ifuatavyo:

[TABLE="class: grid, width: 500, align: center"]
[TR]
[TD]Zawadi namba 1[/TD]
[TD]Hii watapewa wale watakaokuwa kiujumla wameonesha kujitahidi na kufanya vizuri kwenye mtihani wa NECTA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Zawadi namba 2[/TD]
[TD]Hii watapewa wale watakaokuwa kiujumla wameonesha kujitahidi na kufanya vizuri kwenye masomo ya SAYANSI katiaka mtihani wa NECTA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Zawadi namba 3[/TD]
[TD]Hii watapewa wasichana watakaokuwa kiujumla wameonesha kujitahidi na kufanya vizuri kwenye mtihani wa NECTA[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

:happy:Tuzo/ zawadi hizi zitaanza kutolewa kwa wanafunzi walioko form four mwaka huu (2014)

Kwa maelezo zaidi, bofya hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…