MTV Europe music Awards 2016 ilifanyika weekend iliyopita ambapo Mtanzania mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba alikuwa akiwania tuzo ya BEST AFRICAN ACT ambayo ilitangazwa siku ya tukio mshindi ni Mnigeria Wizkid.
Pamoja na kwamba Wizkid alitangazwa mshindi, mtandaoni ilikuwa inaonyesha Alikiba ndio anaongoza kwa kupigiwa kura na hapo watu wakaanza kuuliza kwa nguvu imekuaje? hata hivyo kulionekana mabadiliko baadae kwa rekodi hizo kutoonekana mtandaoni baada ya muda kupita.
Taarifa za uhakika kutoka kwenye Management ya Alikiba ni kwamba wametumiwa taarifa na MTV EMA kwamba kuna kosa lilitokea lakini wamerekebisha na kumfikishia taarifa Wizkid kwamba tuzo haikuwa yake hivyo itachukuliwa na kupewa Alikiba.
================
MY TAKE: Am very happy, tena Sana,,tuzo ile aliyopewa wizkid isivyo halali imerudishwa kwa aliyestahili!!! Wekeni akiba ya maneno,, msinitukane,,,
Najua mtakwazika kuwa sijaweka habari kamili au chanzo cha habari!! Soon mtasikia habari hizi njema
Nb. Ingieni kwenye page ya instagram ya wizkid ameshafuta post zote zinazohusu tuzo, mtvmama vilevile!!! Nimeandika nikiwa nna haraka!!!
Haters poleni!!