Tuzo ya Best African Act aliyopewa Wiz Kid imerudishwa kwa mshindi halali Ali Kiba

sohwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Posts
1,039
Reaction score
772
MTV Europe music Awards 2016 ilifanyika weekend iliyopita ambapo Mtanzania mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba alikuwa akiwania tuzo ya BEST AFRICAN ACT ambayo ilitangazwa siku ya tukio mshindi ni Mnigeria Wizkid.

Pamoja na kwamba Wizkid alitangazwa mshindi, mtandaoni ilikuwa inaonyesha Alikiba ndio anaongoza kwa kupigiwa kura na hapo watu wakaanza kuuliza kwa nguvu imekuaje? hata hivyo kulionekana mabadiliko baadae kwa rekodi hizo kutoonekana mtandaoni baada ya muda kupita.

Taarifa za uhakika kutoka kwenye Management ya Alikiba ni kwamba wametumiwa taarifa na MTV EMA kwamba kuna kosa lilitokea lakini wamerekebisha na kumfikishia taarifa Wizkid kwamba tuzo haikuwa yake hivyo itachukuliwa na kupewa Alikiba.





================
MY TAKE: Am very happy, tena Sana,,tuzo ile aliyopewa wizkid isivyo halali imerudishwa kwa aliyestahili!!! Wekeni akiba ya maneno,, msinitukane,,,
Najua mtakwazika kuwa sijaweka habari kamili au chanzo cha habari!! Soon mtasikia habari hizi njema
Nb. Ingieni kwenye page ya instagram ya wizkid ameshafuta post zote zinazohusu tuzo, mtvmama vilevile!!! Nimeandika nikiwa nna haraka!!!
Haters poleni!!
 
Mmmmhhh haya, nahisi kama chai hizi, mbona mtv mama instagram page yao hawajaweka, wizkid kafuta kwa ajili ya matusi yenu kaona mnamjazia inzi. OK ngoja tusubiri lkn sizani
 
OK tufanye ni chai,, nakukumbusha,, weka akiba ya maneno?!! Yaani afute tuu kisa tunamtukana????.tulia,,, samahanini kwa habari nusunusu!! Saweni jamanii??
Mmmmhhh haya, nahisi kama chai hizi, mbona mtv mama instagram page yao hawajaweka, wizkid kafuta kwa ajili ya matusi yenu kaona mnamjazia inzi. OK ngoja tusubiri lkn sizani
 
Hiyo ni worldwide act na siyo best African act!! Sawa,, ya best African act wameufuta,, ingia hata page ya mtbbaseafrica, wameshafuta kitaaaambo!! Au na wao twawajazia nzi Kama kwa wizzie!!??
kutiliana aibu tuu
 
Kazi zipo nyingi za kufanya hata kuswaki pia ni kazi.... Acha majungu mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…