LE GAGNANT
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 1,241
- 252
Ndiyo maana hata yeye alipata shock kusikia kashinda!Hivi nyimbo kama shangazi ya Mpoki. Utailinganisha na Adela ya Mrisho Mpoto? Msanii kama Mpoki unaweza kumlinganisha na Mrisho Mpoto. Hivi kwa Mashairi ya Shangazi mfano "Umepewa wizara Nyeti kuliko Nyeti tulizonazo". Alistahili kupewa Tuzo?
Why was he nominated in the first place?Mpoki alikua anaji advertise kupitia comedy show ya TBC Kuomba kura.
Mrisho mpoto had no that Chance.
Kama hamkumpigia kura Mjomba mlitaka apiteje sasa.Wabongo bwana mabahili afu tunaishia kulalamika wakati hatukufanya jitihada za kufanikisha chaguo letu spate tuzo.
Hivi nyimbo kama shangazi ya Mpoki. Utailinganisha na Adela ya Mrisho Mpoto? Msanii kama Mpoki unaweza kumlinganisha na Mrisho Mpoto. Hivi kwa Mashairi ya Shangazi mfano "Umepewa wizara Nyeti kuliko Nyeti tulizonazo". Alistahili kupewa Tuzo?
Why was he nominated in the first place?
Why was he nominated in the first place?
Usiku ule nilikuwa nafuatilia ile show kwenye TV nyumbani, lakini mara baada ya MPOKI kutangazwa mshindi wa tuzo husika nilienda zangu kulala, na nika-conclude kwamba shindano zima liilikuwa ni upuuzi mtupu. Wimbo wa Mpoki nilikuwa sijausikia kabla lakini baada ya kusikiliza mashairi yake ya kijinga (na ku-copy baadhi ya mashairi ya MPOTO) niliona kweli hatuko serious kwenye mambo mengi sana. No wonder hata kwenye uchaguzi wa kisiasa tunaona watu wasio na uwezo wakichaguliwa na wale wenye uwezo wakishindwa. Bado tuna safari ndefu sana Watanzania.
Why was he nominated in the first place?
Wakulaumiwa ni sisi wapiga kura na wala sio mpoki
:juggle: