Wakazi wa Moshi mko tayari kwa burudani kabambe kutoka kwa mtumbuizaji bora wa Afrika Diamond Platnumz? Ijumaa hii ndani ya Kili Home jukwanii litashambuliwa na Wasafi Classic Usisahau kuingia vodacom.mziiki.com kusikiliza nyimbo kali za Dangote. Ungependa aanze na kibao gani jukwaani?