shungurui JF-Expert Member Joined Sep 1, 2008 Posts 3,765 Reaction score 5,160 Oct 11, 2009 #1 Kati ya tuzo ya Nobel na udaktari wa kupewa ipi ni bora mfano aliyo pewa Desmoni Tutu na udaktari aliopewa Kikwete,Karume. Hivi kwanini sisi tuna madaktari wengi wa kupewa kuliko hizo tuzo za nobel?
Kati ya tuzo ya Nobel na udaktari wa kupewa ipi ni bora mfano aliyo pewa Desmoni Tutu na udaktari aliopewa Kikwete,Karume. Hivi kwanini sisi tuna madaktari wengi wa kupewa kuliko hizo tuzo za nobel?