johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa tafsiri sahihi comedy ni mizaha inayopelekea Watu kucheka ama kwa furaha au maudhi
Ndio sababu siyo kila anayechekesha ni comedian wengine wako very natural
Tuzo ya Rais Samia ilipaswa kuitwa Champion of Joy kwa sababu anatuletea Furaha Watanzania
Prof Kabudi wewe ni Mzee wangu wa Kanisa nadhani umeelewa vizuri
Mungu wa Mbinguni mbariki Rais Samia 🌹