johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndio mshampa tena siunajua uchawa unapozidi hata mambo ya msingi hayatazamwi zaidi yakutafuta sifa ndio matokeo yakeKwa tafsiri sahihi comedy ni mizaha inayopelekea Watu kucheka ama kwa furaha au maudhi
Ndio sababu siyo kila anayechekesha ni comedian wengine wako very natural
Tuzo ya Rais Samia ilipaswa kuitwa Champion of Joy kwa sababu anatuletea Furaha Watanzania
Prof Kabudi wewe ni Mzee wangu wa Kanisa nadhani umeelewa vizuri
Mungu wa Mbinguni mbariki Rais Samia ๐น
Nambari One
Ndege wafananoKwa tafsiri sahihi comedy ni mizaha inayopelekea Watu kucheka ama kwa furaha au maudhi