mariantonia
Senior Member
- Jan 6, 2012
- 135
- 52
@arusha,baba mngoni,mama mchagga
Nimekuwa nikijiuliza hili swali kila siku na jibu linabaki kuwa mimi NISINGEKUBALI
Wana JF think of mchumba wako ana kesi tena mbaya na anakutaka ufunge naye ndoa just a week before mahakama haijatoa uamuzi uwepo/kutokuwepo kwa ya kesi ya kujibuJeniffer John mrembo kisawasawa alikubali kufunga ndoa na Jerry Muro aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya Rushwa na kutishia kwa silaha just a week kabla ya mahakama kupitisha uamuzi.Nataka kujua from the bottom of ur heart ni wakaka/wadada wangapi wangekubali kuingia kwenye ndoa kama hii.
Pamoja na kwamba Jeniffer John is longer a single lady lakini nampa ya A TRUE LOVER OF 2011