Tuzo ya single lady 2011-a true lover of 2011

mariantonia

Senior Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
135
Reaction score
52
@arusha,baba mngoni,mama mchagga

Nimekuwa nikijiuliza hili swali kila siku na jibu linabaki kuwa mimi NISINGEKUBALI

Wana JF think of mchumba wako ana kesi tena mbaya na anakutaka ufunge naye ndoa just a week before mahakama haijatoa uamuzi uwepo/kutokuwepo kwa ya kesi ya kujibuJeniffer John mrembo kisawasawa alikubali kufunga ndoa na Jerry Muro aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya Rushwa na kutishia kwa silaha just a week kabla ya mahakama kupitisha uamuzi.Nataka kujua from the bottom of ur heart ni wakaka/wadada wangapi wangekubali kuingia kwenye ndoa kama hii.

Pamoja na kwamba Jeniffer John is longer a single lady lakini nampa ya A TRUE LOVER OF 2011

Attachments

  • jerry muro.jpg
    66 KB · Views: 130
wana JF walivyo wasafi wa roho utadhania woooooooote wanaishi makanisani na misikitini
 
yes huyu mdada nimemheshimu sana kwa uajsiri wake...........kiukweli ameonyesha hekima na mapenzi ya kweli
 
Ndo maana ningekubali ili hata akienda jela akirudi nijue ananirudia mimi.
hakimu akitamka miaka 23 jela ungefeeliaje???

au ungeomba hakimu akupe dakika tano za mtengeneze mtoto??????????????
 
hakimu akitamka miaka 23 jela ungefeeliaje???

au ungeomba hakimu akupe dakika tano za mtengeneze mtoto??????????????

Unafanya arrangement na askari magereza kila mwezi au wiki mbili unaenda kutengeneza mtoto.
 
hakimu akitamka miaka 23 jela ungefeeliaje???

au ungeomba hakimu akupe dakika tano za mtengeneze mtoto??????????????

Kwani hawaruhusu conjugal visits?

Kama hawaruhusu ningemsubiria tu.
 
Kwani hawaruhusu conjugal visits?

Kama hawaruhusu ningemsubiria tu.
marekani conjugal visits zipo
bongo waziri alijitetea magereza haina sytuctures/places za kuaccomodate conjugals,
ukimsubiri kwa 23 plus umri wako NO OVULATION AT ALL
Naweza kupa ushauri mwingine ingawa umekaa kiajabu
 
Unafanya arrangement na askari magereza kila mwezi au wiki mbili unaenda kutengeneza mtoto.
itokee wewe ni mzuri kuliko mkee wa askari magereza unadhani hapo itakuwaje??????????????
 
marekani conjugal visits zipo
bongo waziri alijitetea magereza haina sytuctures/places za kuaccomodate conjugals,
ukimsubiri kwa 23 plus umri wako NO OVULATION AT ALL
Naweza kupa ushauri mwingine ingawa umekaa kiajabu

Sasa mbona bado kazi rahisi tu kumpata. Polisi na askari wa bongo walivyo na njaa? Tungekua tunalala zetu nyumbani angalau mara 5 kwa mwezi.
 
Conjugal visits kwenye magereza ya bongo? Acheni maskhara jamani
 
Pengine amesoma sheria kidogo alijua hiyo kesi haina hukumu ndefu (Im just saying)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…