Tuzo za Afrimma 2018, Diamond aambulia patupu, Wizkid na Fally Ipupa wang'aa

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Licha ya kutajwa kwenye vipengele 5 msanii maarufu nchini Diamond ameambulia patupu huku tuzo kubwa zikienda kwa Yemi Alade, Wizkid na Fally Ipupa.

Wizkid ameshinda wimbo Bora wa mwaka kupitia hit song yake ya SOCO, Huku Fally Ipupa akishinda tuzo ya artist of year.
Yemi alade amejinyakulia tuzo ya female artist of the year.
Eddy Kenzo kutokana Uganda akishinda best East Africa artist of the year

Ikumbukwe wiki iliopita katika nomination za MTV EMMA 2018 Diamond alipigwa chini licha ya kuonekana anafanya vizuri nchini
 
Hivi hizi tuzo Huwa zina mkwanja?
 
Wabongo tunafeli katika kupiga kura jamani, mtu atakaa anasifiaaaaaaaaaa kura hata hajui inapigwaje.

Pia management yake itangaze jamani, mfano mi sipo instagram nahisi ndiyo maana hili swala silijui. Ila wangetumia njia nyingine hata radio, au awaambie Tigo, Voda, Airtel wawe wanatuma sms ya tuzo anazogombea na namna ya kupiga kura.

Tubebane waTz.

Doh nimesahau wasanii wote ni sisiemu
 
Mpaka Bashite aoembe msamaha kwa Chuo cha sanaa Bagamoyo.
 
Licha ya kutajwa kwenye vipengele 5 msanii maarufu nchini Diamond ameambulia patupu huku tuzo kubwa zikienda kwa yemi alade, Wizkid na fally ipupa
Wizkid ameshinda wimbo Bora wa mwaka kupitia hit song yake ya SOCO
Huku Fally ipupa akishinda tuzo ya artist of year
Yemi alade amejinyakulia tuzo ya female artist of the year
Eddy Kenzo kutokana Uganda akishinda best East Africa artist of the year

Ikumbukwe wiki iliopita katika nomination za MTV EMMA 2018 Diamond alipigwa chini licha ya kuonekana anafanya vizuri nchini
Collaboration of the year
✓diamond platinumz Ft Omarion=African beauty
Screenshot_20181008-205530.jpg
 
Licha ya kutajwa kwenye vipengele 5 msanii maarufu nchini Diamond ameambulia patupu huku tuzo kubwa zikienda kwa yemi alade, Wizkid na fally ipupa
Wizkid ameshinda wimbo Bora wa mwaka kupitia hit song yake ya SOCO
Huku Fally ipupa akishinda tuzo ya artist of year
Yemi alade amejinyakulia tuzo ya female artist of the year
Eddy Kenzo kutokana Uganda akishinda best East Africa artist of the year

Ikumbukwe wiki iliopita katika nomination za MTV EMMA 2018 Diamond alipigwa chini licha ya kuonekana anafanya vizuri nchini
inaonyesha kwamba hufatilii mambo sana unaunga unga habari kutoka kwenye page za udaku....rudi kaangalie tena ujiridhishe kama Diamond katoka patupu
 
Licha ya kutajwa kwenye vipengele 5 msanii maarufu nchini Diamond ameambulia patupu huku tuzo kubwa zikienda kwa yemi alade, Wizkid na fally ipupa
Wizkid ameshinda wimbo Bora wa mwaka kupitia hit song yake ya SOCO
Huku Fally ipupa akishinda tuzo ya artist of year
Yemi alade amejinyakulia tuzo ya female artist of the year
Eddy Kenzo kutokana Uganda akishinda best East Africa artist of the year

Ikumbukwe wiki iliopita katika nomination za MTV EMMA 2018 Diamond alipigwa chini licha ya kuonekana anafanya vizuri nchini
Kafanye Sheree sasa
 
Wanawake wote wenye nguvu wamemtema na wale ndo walikua na team za wapiga kura...muache ajue nguvu ya wanawake labda atawaheshimu...!!
 
Wabongo tunafeli katika kupiga kura jamani, mtu atakaa anasifiaaaaaaaaaa kura hata hajui inapigwaje.

Pia management yake itangaze jamani, mfano mi sipo instagram nahisi ndiyo maana hili swala silijui. Ila wangetumia njia nyingine hata radio, au awaambie Tigo, Voda, Airtel wawe wanatuma sms ya tuzo anazogombea na namna ya kupiga kura.

Tubebane waTz.

Doh nimesahau wasanii wote ni sisiemu
Wapiga kura walikua team Missa,Wema na Zari sasa hivi hayuko nao na ndo sana fans wengi so now tuzo za kupiga kura hatoshinda daimond maana kashakera wanawake wote!!
 
Back
Top Bottom