Collaboration of the yearLicha ya kutajwa kwenye vipengele 5 msanii maarufu nchini Diamond ameambulia patupu huku tuzo kubwa zikienda kwa yemi alade, Wizkid na fally ipupa
Wizkid ameshinda wimbo Bora wa mwaka kupitia hit song yake ya SOCO
Huku Fally ipupa akishinda tuzo ya artist of year
Yemi alade amejinyakulia tuzo ya female artist of the year
Eddy Kenzo kutokana Uganda akishinda best East Africa artist of the year
Ikumbukwe wiki iliopita katika nomination za MTV EMMA 2018 Diamond alipigwa chini licha ya kuonekana anafanya vizuri nchini
inaonyesha kwamba hufatilii mambo sana unaunga unga habari kutoka kwenye page za udaku....rudi kaangalie tena ujiridhishe kama Diamond katoka patupuLicha ya kutajwa kwenye vipengele 5 msanii maarufu nchini Diamond ameambulia patupu huku tuzo kubwa zikienda kwa yemi alade, Wizkid na fally ipupa
Wizkid ameshinda wimbo Bora wa mwaka kupitia hit song yake ya SOCO
Huku Fally ipupa akishinda tuzo ya artist of year
Yemi alade amejinyakulia tuzo ya female artist of the year
Eddy Kenzo kutokana Uganda akishinda best East Africa artist of the year
Ikumbukwe wiki iliopita katika nomination za MTV EMMA 2018 Diamond alipigwa chini licha ya kuonekana anafanya vizuri nchini
Kafanye Sheree sasaLicha ya kutajwa kwenye vipengele 5 msanii maarufu nchini Diamond ameambulia patupu huku tuzo kubwa zikienda kwa yemi alade, Wizkid na fally ipupa
Wizkid ameshinda wimbo Bora wa mwaka kupitia hit song yake ya SOCO
Huku Fally ipupa akishinda tuzo ya artist of year
Yemi alade amejinyakulia tuzo ya female artist of the year
Eddy Kenzo kutokana Uganda akishinda best East Africa artist of the year
Ikumbukwe wiki iliopita katika nomination za MTV EMMA 2018 Diamond alipigwa chini licha ya kuonekana anafanya vizuri nchini
Wapiga kura walikua team Missa,Wema na Zari sasa hivi hayuko nao na ndo sana fans wengi so now tuzo za kupiga kura hatoshinda daimond maana kashakera wanawake wote!!Wabongo tunafeli katika kupiga kura jamani, mtu atakaa anasifiaaaaaaaaaa kura hata hajui inapigwaje.
Pia management yake itangaze jamani, mfano mi sipo instagram nahisi ndiyo maana hili swala silijui. Ila wangetumia njia nyingine hata radio, au awaambie Tigo, Voda, Airtel wawe wanatuma sms ya tuzo anazogombea na namna ya kupiga kura.
Tubebane waTz.
Doh nimesahau wasanii wote ni sisiemu
Kupitia "comment" hii nimelijua lengo la kuleta uzi huu.Wakina Wizkid hawapigi hela?[emoji15] [emoji15]
Tena anafanya kazi na NIKE