mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Una akili fupi sana,wenzio wanaungana kuiwakilisha Tanzania nje ya nchi,wewe unashabikia utengano,stupid guyMsanii namba moja Tanzania na Afrika Mashariki,Diamond Platnumz amechaguliwa kuwania categories TANO kwenye mashindano ya muziki ya Afrika yanayoandaliwa nchini Marekani.
Muhenga yeye amechaguliwa kwenye category moja. Hili ni pigo sana kwake na ushindi mkubwa sana kwa Simba.
Pia wapo wasanii wengine kutoka Tanzania. Pia yupo mtayarishaji wa muziki Tudd Thomas na mkata viuno wa Diamond, Mose Iyobo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni naniliu pale soko kuu nchiniMuhenga ni nani, Jay Dee?
we unawania tuzo gan mzee babaMsanii namba moja Tanzania na Afrika Mashariki,Diamond Platnumz amechaguliwa kuwania categories TANO kwenye mashindano ya muziki ya Afrika yanayoandaliwa nchini Marekani.
Muhenga yeye amechaguliwa kwenye category moja. Hili ni pigo sana kwake na ushindi mkubwa sana kwa Simba.
Pia wapo wasanii wengine kutoka Tanzania. Pia yupo mtayarishaji wa muziki Tudd Thomas na mkata viuno wa Diamond, Mose Iyobo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi mfananisha jay dee na nao wasanii uchwaraMuhenga ni nani, Jay Dee?
Wewe Dada wa wapi .......Inshu kutengeneza mpunga mwingi kuzidi wengine,sio kuwepo muda mrefu,maana muda waliopo hao WAHENGA na muda alionao DIAMOND keshawaacha kwa mbali sana tena sana si kimuziki wala si kwa kipato.Huwezi mfananisha jay dee na nao wasanii uchwara
Inshu sio kuwa kwenye game, Bali kudumu kwenye game
spend less, save more
Hahahaha! Tatizo muhenga anajiona bora kuliko wengine,kwa Tanzania anaweza kuwa sahihi kwa anachoamini,lkn sio nje ya tanzaniaTatizo huyo mhenga anajiona bora wakati kimataifa ubora wake hauonekani.....hata hiyo moja nahisi wamempendelea.