TUZO ZA BURUDANI MBEYA 2024

TUZO ZA BURUDANI MBEYA 2024

Wakwetu03

Senior Member
Joined
Sep 15, 2010
Posts
194
Reaction score
87
Blog ya @burudanimbeya wanakupa taarifa ya utoaji wa Tuzo Kwa wanasanaa wote nyanda za juu kusini ikijumuisha wanamichezo na dhumuni la hizi Tuzo ni kuonesha kutambua mchango wa watu Hawa hapa nyumbani.

Kikubwa tulichovutiwa SISI ni namna ya mchakato wa upigaji kura ulivyowekwa kisasa (kidigitali) na hakuna ugumu wowote na imetumika lugha ya kiswahili na kiingereza Kwa Kiasi kidogo sana.

Kuna vipengele vingi na vya msingi kabisa mfano,mtayarishaji Bora wa muziki,studio Bora,mtayarishaji wa video,Filamu, mtangazaji Bora,mchezaji Bora wa Mpira wa miguu ,online media Bora,Video vixen aliyefanya poa zaidi 2024 pamoja na vipengele kibao.

Utaratibu wa kupiga kura hauhusiani na malipo yeyote gusa TU link hii inakupeleka moja Kwa moja.

Tuzo za burudani Mbeya
 
Back
Top Bottom